Kwa kweli nawaahidi Kuwa Mtafurahi sana nyie warembo. Wanaume ndo Mkae kwa Utulivu sasa maana nitawashukia vibaya.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,361
11,517
Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban mwezi au miezi kadhaa.

Jichanganye umsonye mtu humu. Nakupiga ban ya mwaka. Nitakuwa tu nawapanga....nawala mmoja mmoja nachagua tu wale walio nona. Halafu wale wanaume wanaojifanya much know nao nitawapiga ban sana.

Wamo humu wanawaume wengine wanawajibu vibaya mademu zangu. Hao ni ban tu. Ya chini kabisa mwezi. Ila mpaka miaka itakuwa watu wanapigwa ban. Unajua utaratibu wa mtu unaamka tu umepigwa ban. Ni utaratibu kwa kikoloni,kandamizi na kinyonyaji.

Ni utaratibu ambao unawapa moderators umungu mtu. Wanaamua tu. Wakati mwingine demu wa moderator anakuanza..ukimjibu anaenda mwita jamaa yake. Na jamaa sababu ya penzi anakupiga ban. Yaani mi natamani niwe moderator. Mabinti mtafurahi nyie... Acheni tu. Mtakuwa mnapita kwenye nyuzi za watu bila nguo na hakuwa wa kuwauliza.

Tena mnaweza kuwa hata mnajisaidia kwenye nyuzi za watu hakuna wa kuhoji maana si mna nioshea mpini wangu?sasa muogope nini? Natamani sana niwe moderator siku nikiwa mkubwa. Nyie acheni tu. Mtafurahi ninyi.
 
Kama mi ningekuwa mod kweli ningekulima ban angalau ya wiki moja. Lakini sasa walivyo watakuja tu kufuta huu uzi basi
 
Kumbe nawe ni mrembo. mwenzao anayewaonea wivu siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom