Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu.
Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada.
October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi.
October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia.
October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU).
October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
Naelezwa hiyo Park yenye wanyama wakali wakiwemo Simba ipo huko Kilimanjaro na inafanya biashara hasa ya utalii wa picha na kwalo hujipatia kipato jambo ambalo ni jema.
Lakini ipo siku Simba hao wanyama watamtafuna mtu nawaambia na hapo ndipo utaona Serikali ikitoa tamko la kuifungia.
Ni...
Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya...
Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi.
Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza.
Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja?
Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili...
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana.
Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa
Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu?
Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
Huyo hustler ntampa 70k kama Asante.
NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja. Nipo DSM.
NB: Mimi ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida.
Na bado litaliwa timing nyingine wakati wanapambana kulirekebisha.....
Russia's government has ordered contractors to...
ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa.
Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na...
Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote.
========
Two were killed in Sanandaj, including a man shot in his car after he sounded his horn in...
Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja”, China imeweza kuanzisha programu na miradi...
Sababu inayochangia hali hiyo ni mabadiliko katika Malezi, Msongo wa Mawazo wa Kushindwa Kuhimili Changamoto, Ongezeko la Magonjwa yasiyoambukiza na Matumizi ya Vilevi hususan Pombe, Bangi na Dawa nyingine za Kulevya.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge aliyemwakilisha Waziri wa...
Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo...
Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum.
Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee.
Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea hakuna wa kuwasemea! Bungeni kule ni watu kupongeza tu.
Sasa hivi bei ya nafaka haikamatiki na...
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.