mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

    Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  4. JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la mtu mmoja

    Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vipele kwenye paji la uso la mtoto chini ya mwaka mmoja

    Habari zenu Mtoto chini ya mwaka mmoja anasumbuliwa na vipele kwenye paji la uso na maeneo ya kichwani tu ambapo tumemsaidia dawa tofauti za kupaka ikiwepo candidas mara kadhaa haikuweza kumsaidia. Naomba kusaidiwa ushauri ama dawa sahihi ambayo itaweza kumsaidia. Asanteni sana
  7. JamiiForums Tanzania Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

    Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

    Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye. Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Master Nabi anabaki kuwa mmoja tu, arudii makosa mara mbili, kawaonyesha Rivers leo

    Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua rivers watakuja kwa kasi sana kwenye goli la yanga kutafuta mabao hivyo akaweka viungo wa shoka, baada ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani. Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu. Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  15. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

    Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland. Hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba Mahakama itengue hukumu ya upande mmoja (how to challenge ex parte judgement)

    Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?. By zakariamaseke@gmail.com Advocate Candidate - LST. Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

    Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=. Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ina mamilionea 2400 wa USD, sita wamevuka 100m na mmoja aliyevuka bilioni 1

    Tanzania inabaki nchi pekee Afrika mashariki yenye mtu mwenye utajiri zaidi ya dola bilioni moja za kimarekani. Ina jumla ya mamilionea 2400 kwenye dola ya mmarekani huku 1300 katika hao makazi yao yakiwa Dar es Salaam na mji huu ukishika nafasi ya 12 miji Afrika wananchi wake wakiwa na utajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…