Brazil au Argentina mmoja bingwa Kombe la Dunia

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya.

Ukindoa hiyo hoja mwaka huu, Brazil wana kikosi kinachokaribia kile cha mwaka 2002 ingawa siyo kwa asilimia kubwa. Pia Argentina ana kikosi cha wapambanaji kama kile cha Maradona cha mwaka 1986.

Pia ukienda na hii rekodi ya 1998 na 2018 Ufaransa, 2002 na 2022 inaweza kuwa Brazil, wakiwa na bahati mwaka huu ni wao.

Mwaka huu moto utawaka, ila natabiri kati ya Brazil au Argentina mmoja atachukua Kombe la Dunia 2022.
 
Hao Brazil, Argentina ni wazuri huko huko kwao.Hao hata Netherland na England zitawatoa jasho. Oops nilisahau Serbia na Portugal.
 
Naiona kabisa Brazil Au Algentina wakichukua kombe la dunia.

Kwa sababu moja tu timu nyingi za ulaya uwa hazina bahati Sana zinapocheza kombe la dunia nje ya ulaya.

Ukindoa iyo hoja mwaka huu brazil Wana kikosi kinacho karibia kile Cha mwaka 2002 ingawa sio kwa asilimia kubwa.

Pia Algentina ana kikosi Cha wapambanaji Kama kile Cha Maradona Cha mwaka 1986.

Pia ukienda na hii record ya 1998 na 2018 ufaransa.

2002 na 2022 inaweza kuwa brazil wakiwa na bahati mwaka huu ni wao.

Mwaka huu moto utawaka ila natabiri Kati ya Brazil au Algentina mmoja atachukua kombe la dunia 2022.
Ufaransa
Uholanzi
Ujerumani,
spain,
brazil,
england.
agentina.

hawa viumbe nimeorodhesha hapa juu mmoja wapo lazima awe bingwa.
 
WhatsApp Image 2022-11-22 at 7.11.14 AM.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom