mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  2. JamiiForums Tanzania BoT: Kipato cha kila mkazi wa Dar chaongezeka kwa shilingi Laki 5, wa mikoani kwa Laki 1

    Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na BoT kwenye ripoti yake ya Consolidated Report ya mwaka 2022 inaonesha Pato la Kila Mkazi wa Dar limeongezeka Kwa Shilingi Laki 5 wakati wastani wa Pato la Kila Mtanzania likiongezeka kutoka sh.2.7 mln Hadi sh 2.8 mln (Laki Moja) Kwa mwaka 2022. My Take: Kila...
  3. JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1 Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Italia itaanguka katika mtego wa Marekani wa kuleta utengano katika Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi wa Italia Guido Crosetto alisema, nchi hiyo ilfanya uamuzi wa ghafla na usio na mantiki wa kujiunga na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), miaka minne iliyopita, na kudai kuwa, katika kipindi chote hicho, hakuna kilichofanyika kuongeza biashara ya nje ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” linaifanya dunia kuwa ya kijani zaidi

    Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tutafika lini huku: Mbunge mmoja Marekani apitisha hoja ya kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe

    Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe! Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
  9. JamiiForums Tanzania Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  10. JamiiForums Tanzania Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

    Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji! Lakini mara nyingi inasemwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni. Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa. Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo. Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli. Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna gold-digger aliwahi maliza salama hata mmoja

    Wanawake mnaovamia vibabu au matajiri ili mrithi mali wakifa au ili mfaidi, au ili muzalishwe mpate matumizi ya watoto, jueni moja kwamba hakuna gold digger hata mmoja aliyemaliza bila kujuta. jifunzeni kwa wenzenu.
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  15. JamiiForums Tanzania Biblia ina mifano Mingi ya Wafalme Walioshauriwa Vibaya. Mmoja ni Huu.

    “Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”. Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema...
  16. JamiiForums Tanzania Momba: Mbunge Condester Sichwale ashangaa shule Shikizi ya Mazinge kujaa nyufa hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi

    MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
  17. JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  18. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda ina uwezo wa kupokea basi 100 kwa wakati mmoja?

    Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda. Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu? Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau. Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…