mmiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

    Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake. Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa M-bet ni nani?

    Kuna jamaa anaenezeza uvumi kuwa mmiliki wa kampuni ya M-bet ni Mtanzania, kwanza nimwambie tu mtaji wa kuanzisha kampuni ya kubeti sio wakitoto ambao watanzania wanaweza kumudu. Sembuse Mtanzania amiliki kampuni ya beti inayofanya kazi Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, na Kongo? Au anachukulia...
  3. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo. Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Serval wildlife ni nani?

    Habari zenu wakuu. Naomba kujwa wa mmiliki wa serval wildlife ni serikali au mwekezaji, maana naona gharama zake ni kubwa sana kwenda kutembelea hiki kivutio.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki mpya wa Chelsea akutana na wakala wa Ronaldo

    Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Bunge litunge Sheria ili mali ambazo hazikuandikiwa wosia zimilikiwe na Serikali inapotokea mmiliki amefariki

    Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki. Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

    Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mmiliki halali wa Jerusalem

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

    Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
  14. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  15. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

    Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi. Ni hayo tu.
  16. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kwanini Biashara nyingi zinafeli hali yakuwa msimamizi ni mwenyewe mmiliki?

    Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa. Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako. Naomba nianze na mfano wa Duka liwe ni la vitu ambavyo unaweza ukavitumia nyumbani kwa matumizi ya kila siku...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama. Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva. Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli...
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

    Kuuliza wala siyo ujinga wana JF. Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini. Maana tuliambiwa havikuwa na mwenyewe na je hivi leo vipo wapi au alipatikana mwenyewe akavichukua? Hii Bongo hii wacha kabisaaa
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Israel ndiye alikuwa mmiliki halisi wa Congress

    Trump: Katika muongo mmoja uliopita Israel ilikuwa ndiye mmiliki halisi wa Kongresi ya Marekani Nov 02, 2021 08:06 UTC Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni walivyolihodhi na kulidhbiti bunge la nchi hiyo la Kongresi na kubainisha kwamba kwa muda wa muongo...
  20. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

    Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali •umekopa shilingi ngapi •una bidhaa nzuri kiasi gani •bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani •umedumu hapo kwa muda gani •wala una unyonge kiasi gani •unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali •wala mbunge Msukuma atakutetea...
Back
Top Bottom