Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.
Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Polisi wametoa ripoti kuwa Hamza hakuwa mmiliki wa mgodi, lakini wananchi wanaomjua huko Chunya mkoani Mbeya, wanasema alikuwa ni mmiliki wa mgodi na alitoa ajira kwa baadhi ya watu katika mgodi huo.
Hii ripoti ya Polisi dhidi ya Hamza haina credibility yoyote, kwa sababu haiwezekani chombo...
Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam.
Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi.
========
Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam.
Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika.
Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela...
Maisha ni safari, nimetoka mbali, leo nmekumbuka maisha nliyopitia ya kuishi vyumba vya kupanga.
Kiukweli ni ndoto ya kila kijana kuanza kuishi maisha ya getoni iwe single room ama self-contained kabla hajajenga au kununua nyumba yake.
Nikiwa kama mtu nliewahi kupitia maisha hayo, nlikumbana...
Hello JF,
Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi.
Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani, atimua mbio
Watu watatu wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuingia nchini na kufanya kazi bila vibali.
Raia hao waliingia nchini na kuanza kufanya kazi bila ya kuwa na...
Arusha. Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa hoteli kadhaa za kitalii , ikiwepo Snow crest , William Mollel amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akizungumza na mwananchi Mpwa wa mfanyanyabiasha huyo,Lemburis Sirikwa amesema Mollel amefariki Jana.
"Ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.