Ndugu wa Wahanga wa mlipuko uliotokea Beirut Agosti 2020, walionusurika tukio hilo pamoja na Mashirika ya Haki za Binadamu wametaka kufanyika uchunguzi huru chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa (UN).
Wamesema Uchunguzi wa ndani umekuwa unakwamishwa mara mwa mara na umeshindwa kufikia vigezo...
Mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo au meningitis umetangazwa kaskazini- mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Mpaka sasa watu zaidi ya 120 wamekufa kutokana na ugonjwa huo.
Mgonjwa wa kwanza nchini DRC aliripotiwa Julai.
Zaidi ya watu 100 wamepata tiba wakiwa nyumbani au vituo vya...
Kwa mara ya kwanza tangu mlipuko wa Virusi vya Corona kuanza, Taifa hilo limerekodi visa vipya zaidi ya 1,000 huku Hospitali mbili ambazo ni kubwa zaidi Jijini Sydney zikiweka mahema nje ili kusaidia kukabiliana na ongezeko la wagonjwa
Sydney imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko mpya Nchini...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko.
Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko.
Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko.
Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14
Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili.
Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara...
UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23, 2021.
Hii ni baada ya mfumuko mpya wa maambukizi na vifo vya COVID-19 nchini India unaoifanya nchi...
Watu takriban 15 wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 100 wakipata majeraha katika mfululizo wa milipuko iliyotokea nchini Equatorial Guinea, Wizara ya afya imesema.
Baadhi ya watu 500 walijeruhiwa kufuatia milipuko hiyo iliyotokea karibu na kambi za wanajeshi mji mkuu wa Bata Jumapili...
Nakumbuka siku hiyo wakati ukitokea mlipuko wa mabomu maeneo ya Gongo la mboto, nilikua sinza, ghafla nikaanza kuona miale ya moto juu ya anga, binafsi nilihisi labda tayari kimenuka.
Naanza kutafuta namna ya kuwatafuta watu wangu wa karibu naona simu hazitoki, nikasema ehee.
EBwana wee siku...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu Watanzania,
TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI
Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya.
Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya wana timu za wataalamu na amewataka wanasiasa kutojiingiza kwenye maswala nyeti ya afya.
Kadhalika...
Mamlaka nchini Indonesia zimewahamisha mamia ya watu waliokuwa wakiishi karibu na mlima wenye hatari ya kulipuka kwa volcano baada ya dalili za mlipuko kuongezeka mapema wiki hii.
Zaidi ya watu 600, wengi wakiwa wazee, wanawake wajawazito na watoto, pamoja na wale wenye ulemavu wamelazimika...
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo...
Kuna mlipuko mkubwa sana umetokea Lebanon muda si mrefu, inasemekana silaha na milipuko ya Hezbolah ndio imeharibiwa na intelijensia ya Israel..
Picha linaendelea..
====
Mlipuko mkubwa umepiga mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kukiwa hakuna uthibitisho kuhusu mlipuko wa pili
Mlipuko mkubwa...
Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani.
Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita.
Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.