mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  2. Tareq20

    JamiiForums Tanzania Dar: Mlipuko Kigamboni, moto unawaka

    Muda sio mrefu nimesikia mlipuko mkubwa hapa ferry mwenye taarifa zaidi atujuze kipi kimetokea
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi. Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie mlipuko wa kithembe unaoikumba nchi kwa sasa

    Nilikuwa namsikiliza Ahmed Ally wa Simba akihojiwa clouds FM. Jamaa ana kithembe kikali sana. Anasema Thimba live bila chenga. Hapo akaja mtu anatangaza Ndondo Cup. Anasema watacheza "Kinethi" na wanadhaminiwa na "Madhiwa ya athathi." Sijakaa sawa akatokea Mbwiga, anasema, "Au thio." Juzi...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi ilipoteza ndege tisa kwenye mlipuko Crimea

    Hadi aibu.... ====== Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday. The blasts, which Russia says were caused by detonations of stored ammunition, killed one person and wounded 14 others, according to the...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watoto 7 wafariki kwa mlipuko Nchini Togo

    Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Macau zaamrisha kasino kufungwa kwa wiki moja kuzuia mlipuko wa Covid-19

    Mamlaka za Jiji la Macau ambapo ni Kitovu cha Kamari Duniani, imeamuru biashara zisizo muhimu, zinazojumuisha zaidi ya kasino 30, kufungwa kwa wiki moja, ikiwa visa 1,536 vya COVID19 vimerekodiwa Jijini humo tokea Mwezi Juni Inaelezwa kuwa takribani watu 19,000 Jijini humo wamewekwa karantini...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yadai mlipuko ulisababishwa na 'vitu vya ajabu'

    Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things). Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni mwa mlipuko huo baada ya kushika vifaa visivyojulikana karibu na mpaka wa Korea Kusini. Japokuwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa Afya waonya mlipuko wa Kipindupindu Ukraine

    Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Acheni kutumia picha za watu weusi kuripoti mlipuko wa monkeypox!

    Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mlipuko kwenye kiwanda haramu waua watu zaidi ya 100

    Vyombo vya Habari Nchini Nigeria vimeripoti kuwa zaidi ya watu 100 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia mlipuko katika Kiwanda kinachochakata Mafuta kinyume na Sheria Eneo la Kusini mwa Nigeria linaripotiwa kuwa na kiasi kikubwa cha Biashara haramu za Mafuta ikielezwa licha ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamii imetakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko

    Jamii imetakiwa kujikinga magonjwa ya mlipuko ikiwepo kufuata miongozo na elimu inayotolewa kwa umma katika kuongeza uelewa na kujenga utayari wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa Aprili 15, 2022 na Mratibu wa Elimu kwa Umma na Ushirikishaji Jamii wakati wa dharura Dkt. Tumaini...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania DRC: Mlipuko waua watu 6, wajeruhi 15

    Watu 6 wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea kwenye baa eneo la Goma katika Mji wa Kivu Kaskazini, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na vyanzo vya serikali hiyo ilikuwa ni taarifa ya awali. Waathirika wawili katika tukio hilo maofisa wawili wa juu wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 60 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso

    Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Ujerumani na Austria zalegeza kanuni za kudhibiti mlipuko wa Corona

    Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha Kwa upande wa Austria, Kansela Karl Nehammer amesema Serikali yake italegeza asilimia kubwa za Kanuni...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

    Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea...
Back
Top Bottom