mkwawa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam Kupitia Mkwawa Kitu Gani Mmeandika Hapa?.

    Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
  2. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

    Habari zenu wakuu. Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko. Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief...
  3. Born Star

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku enable javascript

    JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding. Huu ujumbe naupata ninapo peruz jamiiforums je nawezaje ku enable javascript kwenye operamin yangu natumia Nokia asha 303
  4. Jemedal_bin_chichi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mkwawa alivyosalitiwa na mtu aliyemuamini

    Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema tu Chifu Mkwawa inatosha. Kwa nini aliitwa Mkwawa? Hilo linatokana na jina lake “Mkwavinyika” ambalo lilifupishwa na kutamkwa “Mkwava” lakini baadaye watu wakaona ni...
Back
Top Bottom