mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

    Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM). Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya Edward Moringe Sokoine

    Naombeni kujua historia ya waziri mkuu wa zaman Edwad sokoine
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwasheria Mkuu ajiuzulu kwa lipi?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali anaandamwa eti ajiuzulu kwa kashfa ya nchi kusaini mkataba wa Bandari na Dubai, yeye kosa lake ni lipi ikiwa hakuna saini yake kwenye mkataba huo? Kwanini mnamuacha aliyehusika kusaini mkataba mnataka kumuangushia jumba bovu Jaji Feleshi?
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mratibu PEPFAR, mtendaji mkuu global fund, mwakilishi wa Marekani (diplomasia)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni Azimio la Bandari likipitishwa?

    MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

    Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011...
  9. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema bila ya yeye kupewa wapiganaji 200,000 hali ilivyo sasa Urusi haitamudu chochote

    Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana. The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow to provide him with 200,000 troops in order to halt the long-promised Ukrainian counteroffensive, as...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

    Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari. Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema Urusi iache propaganda za kusema imeua maelfu ya wanajeshi wa Ukraine

    Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday. Moscow's defence...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner asema wakuu wa majeshi ya Urusi wafunguliwe mashtaka kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu

    Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote. Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko. === Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate...
  16. JamiiForums Tanzania Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  17. JamiiForums Tanzania Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

    Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  19. JamiiForums Tanzania Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Ma DC na Ma DED Nchi Nzima

    WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wote nchini kwenye Halmashauri zao Kusimamia Kutokuwepo kwa Michango Holela inayo kera Wananchi na...
  20. JamiiForums Tanzania Matola achaguliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Vijana Simba SC

    Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20. Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…