mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CAF mwaka 2022 kufanyika Arusha, Agosti 10, 2022

    Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania. Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo-Omba amesema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya CAF kifungu cha 17(4) na 17(5) Mkutano huo unafanyika mara...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

    Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Shahbaz Sharif, Waziri Mkuu mpya Pakistan

    Bunge la Pakistan limemchagua Shahbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, baada ya Imran Khan kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye mapema siku ya Jumapili Aprili 10, 2022. Kiongozi wa muungano wa upinzani ambaye alikuwa amefanya kazi ya kumwondoa Khan alipata uungwaji...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  6. JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  7. JamiiForums Tanzania Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

    Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo. Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo,Mwaka 2015 ilikuwa CCM vs UKAWA usijeshangaa...
  11. JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu. Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  17. JamiiForums Tanzania Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

    Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika...
  18. JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani Waziri Mkuu Imran Khan

    Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018. Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine adaiwa kujaribu kutorosha mamilioni ya dola

    Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho. Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya? Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi? Hapa mke wa mbunge mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…