Mkutano Mkuu wa CAF mwaka 2022 kufanyika Arusha, Agosti 10, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania.

Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo-Omba amesema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya CAF kifungu cha 17(4) na 17(5) Mkutano huo unafanyika mara moja kwa mwaka na Kamati ya Utendaji ndio yenye jukumu la kuamua eneo na tarehe ya kufanyika.

FQEYJLoXoAIYqXD.jpg
 
Back
Top Bottom