mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  7. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY. BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mali yamteua Msemaji wa Serikali kuwa Kaimu Waziri Mkuu

    Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya. Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu awataka Waislamu wote kuombea sensa

    Mufti mkuu wa Tanzania amewataka waislamu kuiombea sensa leo ijumaa. Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewataka waumini wa Kiislam kote nchini kuitumia Ijumaa ya kesho Agosti 19, 2022 kuomba dua maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa na kuiombea siku ya Sensa ya Watu na...
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

    Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza...
  17. Deshbhakt

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025, nasi watanzania tutumie vifaa vya teknolojia (TIEMS). Vinginevyo...

    2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3. 1. Katiba itabadilishwa. 2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa. 3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Mali alazimishwa kupumzika

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika. Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi. Serikali...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
Back
Top Bottom