Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby.
Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera.
Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia...