Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo atimba Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa bajeti yaWizara ya Ulinzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeyo.

Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeho.

Mwambieni akapambane na ISIS kule mpakani na Msumbiji aache usanii na ubabaishaji wa kujihusisha na mambo ya Corona
 
Alikuwa amevaa barakoa/mask?
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeho.
Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeho.
Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Mabeyo amestaafu ?
 
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeho.
Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Umemalizia kama komredi wetu ambae habari za jeshi utazani ni siri za mbunguni kuzisema. Kuna vijana wamekuja humu karibuni wanakuwa wanataka wajitambulishe ila wanazuga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeho.
Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
You're so low in terms of thinking capacity!Sasa hapo hiyo ni habari?Mtu akila akashiba,ukifika wakati wa kwenda "kujamba" inakuwa story wakati tulijua ataenda tu apende asipende! You're a hippie!Hahahahaaaa!
 
Back
Top Bottom