mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
  2. Mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia (gesi na mkaa wa mawe)

    Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022. #pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
  3. L

    Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  4. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
  5. Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  6. M

    Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu. Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo...
  7. Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  8. Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

    Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
  9. Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  10. Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
  11. Msingi mkubwa wa makanisa ya kilokole ya zamani ni kujitenga na uzinzi na ulevi. Sasa hivi msingi mkubwa ni kutoa sadaka

    Habari! Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone. Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
  12. Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  13. Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  14. Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

    Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu. Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu My Take Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
  15. Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  16. Ushauri: Kwa sababu kuna uhalifu mkubwa wa kutumia silaha, jeshi la polisi liandae wadunguaji makini " sharpshooters" ili kumaliza majambazi.

    Majambazi wanalitesa sana taifa letu. Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi. Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza...
  17. M

    Kuna uwezekano mkubwa kombe la dunia Qatar kuhairishwa

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein. Hii itasababisha vita ya...
  18. Ikitokea ukamsikia Mussa Azzan Zungu,Mwigulu Nchemba na Tarimba Abbas. Unamwona kabisa Shetani anavyokuwazia mabaya....kuanzia hapa hapa Duniani.

    Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu? Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr...
  19. T

    Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    Uwenda Siku za kiongozi mkubwa a Taifa fulani sasa zinahesabika kama mshale wa saa. Yes kuna kila dalili jamaa anataka tumia silaha hatari za maangamizi kwenye ugomvi ameuwanzisha yeye mwenyewe na ni ukweli usio pingika. Mipango yake hata kabla yakuwa dhahiri wenzake walisha juwa nia yake na...
  20. Ukraine wakamata babkubwa nyingine, kifaa chenye uwezo mkubwa kilichoachwa nyuma na waoga

    Ukraine walitumia mkakati wa ajabu sana, kuwaacha Warusi waingize vifaa vya maana kisha kuwatoa nduki.... Hili hapa ni dubwasha lenye uwezo mkubwa kimitambo.... Ukraine Just Captured Another Rare Russian Electronic Warfare Vehicle© via Twitter The potential intelligence windfall from the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…