mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mgeni Mkubwa akitua tuongee nae Kiingereza cha Kuzungumza na siyo cha Kuandikiwa au kusaidiwa na Mkalimani

    Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
  2. Ujerumani yatikiswa na mgomo mkubwa wa usafiri wa Umma

    Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi. Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na treni njia za majini kote nchini vinatazamiwa kuwa vitupu kufuatia mgomo huo unaotajwa kuwa mkubwa...
  3. D

    Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

    Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman...
  4. P

    Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa

    Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege ikawa inakatiza juu angani, akasema Mungu ameileta ile ndege ili mimi nimalize kuhutubia!, wote...
  5. Mdude Nyagali atoa machozi akihutubia, usajili wanachama kidijitali umefanikiwa sana

    Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.
  6. M

    Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

    Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini pakubwa, ikichagizwa na usajili bora uliofanyika. Mchakato wa kuitengeneza Yanga mpya umekuwa na tija...
  7. Sarkozy: Ulaya ndilo bara lenye ukatili na unyama mkubwa zaidi

    Rais wa zamani wa Ufaransa ameitaja Ulaya kuwa bara lenye unyama mkubwa zaidi duniani, ambako vita vya kikatili zaidi hufanyika. Nicolas Sarkozy, ambaye kwa sasa ni mjumbe wa Baraza la Katiba la Ufaransa, amesema: "Hatuko katika Zama za Kati, bali katika karne ya 21. Tuko katika bara la Ulaya...
  8. Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  9. Serikali kushusha bei ya gesi kama uzalishaji umeme utakuwa mkubwa

    Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini. Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
  10. B

    Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
  11. H

    Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  12. F

    Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  13. Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  14. Tetesi: CHADEMA kuandaa mkutano mkubwa wa hadhara kwa ajili ya kutangaza msamaha kwa Mdee na wenzake

    Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake. Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home). Itakumbukwa...
  15. Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  16. S

    Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

    Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine. Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda? Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda? Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
  17. Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  18. R

    Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  19. Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  20. M

    Nchi iko kwenye mikono salama, Jeshi la Wananchi limeleta utulivu mkubwa baada ya mtikisiko uliotokea Jumamosi

    Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao. Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…