Umuofia kwenu.
Mimi ni muajiriwa wa serikali katika mkoa huu wetu Dsm, kutokana na changamoto za usafiri nimeona nijiongeze hata na tuk tuk kwanza, hivyo basi kama kuna kampuni inakopesha naomba tufahamishane na pia kama kuna mtu ana piki piki used anichek tuelewane kidogo kidogo nimpe ;note...