ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 110
wakuu habari za kushinda???..
ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote..
nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details kulingana na current guidline..
cheti cha kuzaliwa na cha kifo niliviatach .. lakini baada ya kumaliza niliona nipo sawa na nilirudia kupitia tena nikajiridhisha kwa sababu aliyekuwa ananisaidia stationary naye alikuwa makini maana ana uzoefu ..
baada ya kuconfirm na kudownload ile form, nikaona sehemu ya namba ya cheti cha kifo cha mzazi kipo wazi hakijajazwa..
yaani sijaandika entry number ya cheti cha mzazi japo cheti nimeapload.. je hii inaweZa kuniafect kupata mkopo?? naombeni msaada wenu ..
nilikuwa nawaza et nije niandike barua gongewe na mihuri ili niambatanishe nije nitume kwa njia ya EMS..
au nifanye nini wakuu..
ushauri