Marekani kuna vyama vikuu viwili ..
1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k
2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k
Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa.
===================
Chawa wamenuna.
๐๐ฑ๐ฟ๐ถ๐๐๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ฒ ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+.
Hivi...
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini...
Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana.
Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama hawana.
Sometimes Jukwaa la Siasa liwe na nyuzi laini laini km huu sio kila saa nyuzi ngumu ngumu tu...
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).
Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3%
Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato,
Kodi, bima, n.k nayo yanapanda.
Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini,
Basi nao wapunguze asilimia 1.5
Ibaki 0.5%
Ili kusudi nyongeza hii...
Jana baada ya kipindi cha maswali kuna Mhe. Mbunge moja alisimama na kutoa hoja kuwa ana malalamiko dhidi ya Mhe. Tabasamu kwa kumsema vibaya juu ya hoja yake inayohusu pombe za kienyeji. Mimi ninamuunga Mhe. Tabasamu kwa asilimia 100.
Bunge ni mahala pa majadiliano kwa ajili ya maendeleo ya...
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.
Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio...
RAIS SAMIA NI JASUSI WA KIUCHUMI TUMUUNGE MKONO.
Kuna wakati ili Utalii wetu upanuke zaidi tunahitaji jasiri wa kusimamia lakini si kwa kutoa majibu mepesi kwa industry yenye kuhitaji majawabu huru.
Kwa zama hizi, tena kwa kwa utitiri huu wa vyombo vya habari na kuzagaa kwa mitandao kushindwa...
Muda umefika kwa hao waasi wa DRC waelewe hawataishi kwa mazoea tena baada ya DRC kuingia EAC, itabidi wakubali mazungumzo na makubaliano ya amani au wanyooshwe.
The African Union and the United Nations have backed an eastern Africa initiative to bring peace to the Democratic Republic of Congo...
Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.
"Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.
Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.
Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.
Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali...
TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita
Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na kuigawa nchi kwa udini au ukabila, hapo ndipo nasema demokrasia inabidi iwekwe pembeni
Kumekuwa na...
Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...