mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama ulisikia kuwa NMB wanatoa mkono wa pole kwa mteja akifariki basi ulidanganywa!

    Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!! Hebu angalia hiki kisa changu! Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi.. Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunamuunga mkono Yuda Iskariote. Neng'enekeni tu

    Hehehee! Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha! Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado. Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kundi la kigaidi likitokea kuna Watu Wanasema ni mkono wa CIA au Mossad,mbaya zaidi hadithi za vijiweni zinaaminiwa mpaka na wasomi

    Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nembo ya kumuunga Mkono Lissu ni hii: Hakuna kuchana wala kunyoa nywele mpaka lisu aachiwe

    Hakuna KUCHANA wala KUNYOA nywele mpaka Lisu aachiwe! Wote wapiganaji kuanzia sasa mpaka hapo atakapo achiwa LISU ndiyo mtindo wa kutunza Nywele. HAKUNA KUCHANA WALA KUNYOA NYWELE KICHWANI.
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Yaunga Mkono Diplomasia ya Michezo ya Majeshi

    MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 81 wa Michezo ya Majeshi Duniani (81st CISM General Assembly) uliofanyika nchini Monaco kuanzia tarehe 1 hadi 9 Mei 2026. Mkutano huo wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM yaunga mkono pendekezo la kujitathmini zaidi kwa lengo la kukiimarisha zaidi

    Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu Ila wenzetu nyie mnakula raha tu ============= Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Mei 7,2026 imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    My Take Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu. Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe. Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uungwaji Mkono wa Kimataifa kwa Rais Samia

    Mataifa yamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ◇Kuanzia kwenye uwekezaji hadi miradi aliyoahidi wananchi ◇Anakwenda kuwa Rais aliyejenga reli ya kisasa nchi nzima ◇Zipo nchi jirani, mataifa ulaya, taasisi za kiuchumi duniani
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

    Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sio uzalendo kuunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia

    Kwa wanaoelewa huwezi kuwa mzalendo halafu ukaunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia waziwazi October 29. Pigania nchi na acheni ujinga kwa kuona powa hata kama wewe sio mpinzani. Kuna watu wengi wenye uwezo ndani hata ya CCM lakini lakini nao wameporwa ndani ya chama chao.
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ado: Tanzania kuna mfumo ambapo dola ina mkono mrefu kuamua mwelekeo wa kisiasa

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  18. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  20. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
Back
Top Bottom