mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawashika mkono makundi maalum Sekondari ya Pugu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala. Msaada huo ni sehemu ya mchango wake kwa jamii na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha ustawi wa jamii inayoihudumia...
  6. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tuunge mkono kazi tukufu inayofanywa na USA / Israel

    Religion fanatics piteni mbali Hakika natangulia kusema ni kazi tukufu kweli kweli inayofanywa na haya mataifa mawili. Dunia ya sasa na ijayo ni dunia ya amani,uhuru na haki ile dunia ya zama za kale za ujima na ujinga kisa imani kali za kidini,kuua na kuangamiza wasio fuata imani hizo. Kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
  9. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani haumalizwi Kwa mkono wa chuma, bali Kwa njia mbadala kisayansi na kisaikolojia Kwa wahitaji wa upinzani wenyewe!

    Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika! Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa! Kama ccm ndio Tambiko...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Dada yake Lissu kwenye hili

    https://youtube.com/shorts/8L_jOSc8-KY?si=TAk4FjcfvYH6qQB6 Huyu Mama sio yule wa 2021-2022
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mafwele ni nani hasa? Mkono wa sheria unamwogopa?

    Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza 1...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ile video kuwa wairan 1.2m waliandamana kuunga mkono serikali ni AI, uthibitisho huu hapa

    👇 Ritz you are a fraud Soma Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao

    Wanaukumbi. ⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya maelfu. Kama kawaida, vyombo vya habari vya Magharibi havitakuonyesha hizi video kwa sababu...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nitaandamana 'milele' kuipinga TEC na kuunga mkono mashehe

    Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi. Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi. Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
Back
Top Bottom