mkongwe

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. Intelligence Justice

    Serikali iweke ofisi za Mkuu wa Wilaya pembeni ya Mji Mkongwe wa Mikindani, Mtwara

    Wakuu, Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
  2. DELETED ACCOUNT

    Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

    Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23. Kuna watu baada ya game...
  3. bongo dili

    Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

  4. W

    Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

    Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba, zilivutia sababu zilikuwa 'halisi' kutokana na kugusa eneo lake la uelewa na ujuzi. Ghafla likaja...
  5. Mganguzi

    Simba SC mchukueni Juma Kaseja ni mkongwe lakini akiwa golini kwenye mechi tafu anaweza, kuliko hao mnaobahatisha

    Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja...
  6. KING MIDAS

    TANZIA Buriani Dunstan Charles Rally Navigator mkongwe

    Buriani brother. Jana tumekutana Msasani Flats tukipanga mipango mingi na mipangilio kuhusu safari ya leo kwenda kwenye mashindano ya mbio za magari Sao Hill Iringa zinazo dhaminiwa na CMC Automobiles. Ulitamani sana uingie kwenye michuano hii ukiwa na gari yako, lakini ilikuwa na changamoto...
  7. Msomalih

    Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

    Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂 Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe...
  8. LICHADI

    TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  9. Last Seen

    Orodha 10 ya machawa, Manara chawa mkongwe

    😁 1. Haji Manara 2. Haji Manara 3. Haji Manara 4. Haji Marana 5. Haji Manara 6.Mwijaku 7.Baba Levo 8. H.Baba 9. Aristote 10. Lokole Hawachawa wanasifia mpaka wanakera, Kwa nini siku hizi kuwa chawa kunagombaniwa? Wenye machawa wanatafuta nini kwa chawa?
  10. EINSTEIN112

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  11. Mwande na Mndewa

    Taratibu Uzee na Nadhifu: Rubani wa ndege ya jet na rubani mkongwe wa airbus

    TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS. Leo 11:05hrs 17/07/2022 Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa ndege ya kivita aina ya Jet anapunguza mwendo,anaambaa karibu kabisa na ndege ya Airbus,anachukua...
  12. Analogia Malenga

    Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe. Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais, amejiuzulu kutoka jukumu lake kama mjumbe wa kimataifa - afisa mkuu zaidi kujiuzulu tangu kuanzishwa kwa...
  13. L

    Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanam

    Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
  14. Dr Restart

    TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  15. Fbn

    Yule mkongwe aliyeteka JF kuhusu Forex sasa kaingia kwenye Cryptocurrency, tusubiri vilio

    kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli. Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe vipi kukubali kuwa alikuwa akili yake aina 50 zake ilikuwa ngumu. Hapa JF watu wameweza kueleza Forex...
  16. Miss Zomboko

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
Back
Top Bottom