Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania
Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao anachaguliwa Dodoma, wanasahau kwamba sharti lazima awe mzanzibari na si Mtanzania bara, hakikisha...
Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao
Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro nyingi kama hizi;-
1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya.
Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa S
Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.
(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.
(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana...
Picha kwa hisani ya Haki Elimu
1. UTANGULIZI
Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP).
Mradi huo unaitwa...
Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini...
Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara.
Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli.
Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo.
Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
Salama wandugu,
Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao.
Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio...
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.
Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.