Natafuta vijana wenye ujuzi walio na ujuzi wa kiufundi walio mkoa wa Kagera tuungane tujikwamue kimaisha

rutajwah

Member
Nov 17, 2022
90
91
Habari wanjf,

kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii.

Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na changamoto hii.

Ujuzi unaohitajika
  1. Electronics
  2. Electrical
  3. IT
  4. Plumbing
  5. Etc
Nina kijiofisi tayari, Kinachohitajika ni vijana wa kuichangamsha.

Kwa alie tayari anicheki inbox or wahtsappp +255674664154
 
Kaka hama hapo uende sehemu ya mbali wasipokufahamu ...wahaya ni watu wabinafsi sana, ukitoboa hapo basi jipange na uwe na nguvu ya ziada
 
Back
Top Bottom