mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ashinda kesi ya kurudishiwa mahari baada ya kutalikiana na mkewe

    Wilberforce Murunga, 52, ameshinda kesi Mahakamani dhidi ya waliokuwa mashemeji zake ya kutaka arudishwe mahari ya pesa na mali alizotoa kwa ajili ya kumuoa Irine Mitekho Khaoya katika ndoa ambayo ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Murunga alilipa mahari, KSh 50,000, mifugo, viatu vya...
  2. JamiiForums Tanzania Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  3. JamiiForums Tanzania Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa anamwambia mkewe arudi tumboni kwa mama yake kama hana future

    Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika. Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
  5. JamiiForums Tanzania Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyetoroka kwa kumuua mkewe anaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kijiji cha Shitete, Kata ya Iwindi, Tarafa ya Usongwe, Wilaya na Mkoa wa Mbeya, Machi 20, 2022, ambapo walifanikiwa kumkamata SAFARI ADMIN LUWOLE [43] Mkazi wa Kijiji cha Horongo aliyekuwa akitafutwa kwa kosa la mauaji ya mke wake aitwaye...
  7. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Diamond Platnumz kapata jiko? Akiri kupokea zawadi ya thamani kutoka kwa mkewe

    Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya. Katika video...
  9. F

    JamiiForums Tanzania bwana kashikwa na mkewe

    Ha ha ha haaaaa! Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe! JAMAA: VP tena darling kulikon? MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako? JAMAA: aaah! wik...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi amuua mkewe, wengine watano naye ajiua kwa kutumia bunduki aina ya AK 47

    POLISI mmoja mkazi wa Kangemi nchini Kenya amemuua mke wake na watu wengine watano wakiwemo majirani na waendesha bodaboda kwa kutumia bunduki aina ya AK 47 kabla ya kujiua mwenyewe kwa silaha hiyo hiyo. --- Cop kills 6 including wife before turning gun on self in Kabete A police officer shot...
  12. JamiiForums Tanzania Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

    Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
  13. JamiiForums Tanzania Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

    Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni. Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa...
  14. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  15. JamiiForums Tanzania Meme Kabati amekatwa korodani na mkewe kwakushindwa kumridhisha mkewe tendo la ndoa

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  16. JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe...

    Kama una kawaida ya kwenda baa utakuwa unaelewa kuwa hiyo ndiyo sehemu hutokea mambo ya kushangaza zaidi ya sehemu yoyote ile. Nina uhakika ukiwa huko umewahi kushuhudia mzee mtu mzima akiwa amelewa chakari, amevua shati liko mabegani, anacheza wimbo wa ‘chizi karogwa tena’. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

    Mwenyekiti wa kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31) kwa kumkata kata na kitu chenye ncha kali na kisha mwenyewe kujiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mwenyekiti huyo ambaye pia ni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

    Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron. Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953. Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.
  19. JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aua mkewe kwa kumtusi ni bwege kitandani

    MWANAUME alishtakiwa jana kwa kumuua mkewe alipomtusi kwamba hajiwezi chumbani. Stephen Nyangeri Mauti,mwenye umri wa miaka 25 alikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe Faith Nyatich. Wapenzi hao walioana Agosti mwaka huu. Baada ya miezi miwili tayari ndoa yao ilikuwa imegauka kuwa chungu ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…