bwana kashikwa na mkewe

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Ha ha ha haaaaa!
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!
JAMAA: VP tena darling kulikon?
MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?
JAMAA: aaah! wik ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yan faras wangu aliitwa JENNY!
MKE: sorry darling!
Siku ilofuata jamaa akiwa amekaa kochin huku akisoma gazet, alishtukia tena frampen ya uso "kwaang!"
JAMAA: Uwiiiiiii! Jamani darling kulikon tena?
MKE: Farasi wako kapiga cm!
 
Watu wengine mna raha sana!! mie limke rangu wala halijawaiga kunipiga sijui halinipendi hili??? au niliache jamani kwani mnasemaje nyie!!

Angalieni mwenzenu kapigwa na flying pan mara mbili zote!! mweee!! hakuna raha hapa Duniani km kupigwa na mwanamke yale makofi yao napendaga!! hasa akinikwida shingoni mweee!! vidole km vya jokate jamani mie anipige tu kwa kweli!!

samahani muheshimiwa km umeniona hapa..... napita tuuu!
 
Yaani nyie hata ufumaniwe hapo lazima tu ukatae
wee hujui sisi tunapenda kupigwa na ke tuuu baasi!! tena nakwambia kabisa twende ndani tuyamalize!!!! basi tukifika huko wewe nipige uwezavyo hata km una fimbo nichalaze weeeee!! utosheke af niombe mambo yetu yale!!

aaa kiroho kwatu!! mnajua haya mamili yetu ni ya mazoezi sasa dume lime kaa miezi sita bila kutembea kwenda kazini ni gari tyuuuu gari na wewe sometimes tunafanya ili mtupigeko!hakika akikuacha huyo naacha kazi ya ushauri nasaa!

usimpige tu hadharani utaumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom