Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani Handeni.


FO7nCRWWUAYoO9R.jpg

Chanzo: Radio One
 
Tanga wanaita Soni- Mombo (kupenda mserereko)Jamaa mshenzi sana hapo ukute kala msosi kwanza bure, kajifutia taulo la jamaa, na pia kala mashine bure, kalala kwenye kitanda cha jamaa na kaambiwa kojolea nje nisipate mimba kachafua shuka za watu, hapo unaponaje kwa mfano.
mi nashangaaga sana watu wanawaaminigi wanawake wanaposema mme wangu hana tatizo njoo tu nichakatie nyumbani jamani na kuna mabwege yanaenda
 
Kuua mtu kwa sababu ya mwanamke wako eti amechepuka ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Lazima tuelewe jambo moja, mwili wa mwanamke ni mali yake binafsi, kama ilivyo kwa sisi wanaume, uume ni mali yetu binafsi ndio maana ukiamua unampa mwanamke yoyote tu. Hivyo mwanamke nae akiamua kumpa mtu kitumbua chake ni haki yake. Wewe unachopaswa kufanya ni kuachana nae tu.

Other things remain constant, Kiuhalisia, hadi mwanamke anachepuka wewe mwanaume wake una matatizo

Sasa unaua mtu unafungwa unaacha wengine wanaendelea kumla bila shida yoyote unakua imefaidika na nini kama sio upumbavu. Mbaya zaidi unaweza kwenda jela ukajikuta wewe pia unaliwa, sasa unakua umesaidia nini?
 
Kupenda mteremko guest hakuziona
Hapo kapotoshwa na mwanamke!

Kukivuka hicho kihunzi lazima uwe "rijali" wa kichwa na akili hasa.

Nadhani alipumbazwa kwa kuelezwa kirahisi tu kuwa: "huyo mjinga kasafiri hayupo, kwanini tupoteze pesa za gesti, twende tukalale tu nyumbani kwangu mume wangu".

Akitaka kuipinga hiyo hoja anaambiwa: "mimi huyo jamaa namjua hawezi kurudi", "au haunipendi"?

Mwanaume akisikia kauli toka kwa mwanamke: "au haunipendi", huwa ni sawa na kupigwa na kitu kizito, unanyong'onyea na kuishiwa pozi.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani Handeni.



Chanzo: Radio One
Duh.... akufwe na yeye
 
Back
Top Bottom