mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  2. Taured

    JamiiForums Tanzania Yupi ni mkeo Kati ya Hawa

  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunza Mkeo ili usimchoke na usimkinai

    TUNZA MKEO ILI USIMCHOKE NA KUMKINAI Anaandika, Robert Heriel Baba Ubongo wa binadamu unahitaji vitu tofauti Kila siku ili ubudurike. Kuona kitu kilekile, kusikia kitu kilekile, kunusa na kuonja kitu kilekile kunaufanya ubongo ukinaiwe na kuhisi uchovu. Unachoka. Kijana lazima uelewe kuwa ni...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Chombezo mkeo ndio alitaka

    Chombezo: Mkeo Ndio Kataka WARNING (KWA UKUBWA WA MANENO NA TASWIRA ZILIZOTENGENEZWA KATIKA SIMULIZI HII HAITAKIWI KUSOMWA NA MTOTOUNDER 🔞) Ilikuwa asubuhi kama ya saa 3 hivi niko zangu kitandani sielewi naanzaje siku ukizingatia Jana nililala na ubao ndio kabisa hasira zilizidi kunipanda...
  5. Dasizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  7. Engager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  8. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  10. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  12. Girland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zitakazopelekea Mkeo awachukie Nduguzo

    SABABU ZITAKAZOPELEKEA MKEO AWACHUKIE WAZAZI NA NDUGUZO! Anaandika, Robert Heriel. Katika jamii wapo Wanawake wanaochukia Wakwe zao, wapo wanaochukia Ndugu za mume. Zipo sababu zinazopelekea MKE achukukie Ndugu za mume na Wakwe zake. Hata hivyo wapo Wanawake ambao wanachuki tuu na vijiba vya...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mfikishe Mkeo Kileleni na Afya ya Uume

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa. Nami...
  17. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania HADHARI: Usiongee na simu ukiendesha gari, utakufa utuachie mkeo

    Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu. Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote. Epusha ajali zisizo za...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
Back
Top Bottom