mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

    Hello Jf Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu. Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!! Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani Sasa kati ya majirani nilio nao kuna jiran mmoja...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  3. love life live life

    JamiiForums Tanzania Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  4. yuda75

    JamiiForums Tanzania Je, upo tayari kupima VVU na mchumba, mchepuko au mkeo na kupokea majibu pamoja?

    Habarini wadau, Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau? Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
  5. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

    Leo ni siku. Salam wanajamhuri. Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe. Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mkeo ni mzazi wako

    Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa kwanza kwa mkewe. Na hii imethibitika katika jamii zetu, mke kuitwa mama fulani (jina la mume). Mfano...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wako ni Abigael wa leo? Au je, umemuandaaje binti yako kuwa kama Abigael?

    JE MKE WAKO NI ABIGAEL WA LEO? AU JE UMEMUANDAAJE BINTI YAKO KUWA KAMA ABIGAEL? Anaandika Robert Heriel, Tena hakuna kitu kizuri na kinachopendeza kama mwanamke, mwanamke ni ua katika miiba, ni dhahabu katika matope; naye apataye mke mwema ameyapata maisha yake na kuyaokoa walakini akosaye...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

    MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE Anaandika Robert Heriel. Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule. Nazungumza mambo ambayo ni kweli kabisa. Na...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mkeo akitamaniwa na mwalimu wake wa chuo utafanya nini?

    Tumeoma mara kwa mara kero ya hawa walimu wa vyuoni wakiwa wanatumia silaha ya maksi kulala na wanafunzi. Wanakuwa na nguvu ya kulala na mwanafunzi hata kama mwanafunzi hampendi, wanakuwa ma nguvu ya kulala na wanafunzi bila kulipia chochote zaidi ya kutoa maksi. Sasa ikija kutokea mke wako...
  10. Dit000

    JamiiForums Tanzania Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

    Nyege kwa mwanamke huwa inakuwa juu sanaa wiki mbili baada ya kutoka mwezini yaani homoni ya ESTROGEN inakuwa iko juu sanaa hadi pale siku za hatari zitakapoishaa sasa huu ni muda wa kunyanduana mpaka basi, kwani mihemo ya mwili wa mwanamke inakuwa iko juu sanaa kupelekea kuwa na hali moja na...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Wajumbe mpoo.... Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!! Twende kwenye mada; 1. 2007 Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four niliajiriwa kama karani ofisi fulani Dar. Wakati huo nikiwa mdogo (18Yrs) nilikutana na wakubwaa...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Kijana ukioa tu lazima wazee wa "Kitonga" wamchukie mkeo tu, chunguzeni

    Nimechunguza mengi sana ndani ya ndoa. Kabla hujaoa ulikua huru kwenda na kurudi muda wowote na tabia za kibachela. Ndugu jamaa walikua huru kukuomba na kuwasaidia bila vikwazo vingi. Ukishaoa kijana lazima ubadilike ili uendane na mwezio, yaani uache tabia ulizokuwa nazo unaze kuishi kutokana...
  13. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

    Wakuu Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra, Halafu Anakuandalia Chakula Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
  14. The Eric

    JamiiForums Tanzania Hivi inaingia akilini mwanaume kuheshimu madanga ya mkeo?

    Wana harakati habarini wote. Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili watatu wa kunipita umri kama kaka hivi. Wakati tuna tia stori mmoja akawa anatujuza anapenda mke wake...
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mkeo ana bodaboda wake?

    Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli. Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako...
  16. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia Mwaka jana yakajirudia...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo

    Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo. Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk. Tupe uzoefu wako
  18. ragin

    JamiiForums Tanzania Usimwachie mkeo nyumba zaidi ya miaka 5 peke yake

    Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa. Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa. Kwa bahati mbaya baba kazi zake ni nyingi kiasi anashindwa kurudi weekend nyumbani, miaka imekata zaidi ya...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

    Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani. Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo? Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...
  20. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
Back
Top Bottom