mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  3. Girland

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu zitakazopelekea Mkeo awachukie Nduguzo

    SABABU ZITAKAZOPELEKEA MKEO AWACHUKIE WAZAZI NA NDUGUZO! Anaandika, Robert Heriel. Katika jamii wapo Wanawake wanaochukia Wakwe zao, wapo wanaochukia Ndugu za mume. Zipo sababu zinazopelekea MKE achukukie Ndugu za mume na Wakwe zake. Hata hivyo wapo Wanawake ambao wanachuki tuu na vijiba vya...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mfikishe Mkeo Kileleni na Afya ya Uume

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa. Nami...
  8. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania HADHARI: Usiongee na simu ukiendesha gari, utakufa utuachie mkeo

    Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu. Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote. Epusha ajali zisizo za...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
  12. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja; "...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA Asante Kwa kunipenda Kipindi chote...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Usitoe tena hela kwa mkeo kwa ajili ya salon

    Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kujua siri za mkeo?

    Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani. Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

    Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako. Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu Kwa kutupa amri...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

    Kwema wakuu? Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe. "Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu" Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
Back
Top Bottom