mkeka

  1. Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022 Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
  2. Wazee wa jamvi - mkeka ; pesa (boom🤑) uliyomla muhindi-kanji ulifanyia nini Cha kujivunia? Njoo tutoe ushuhuda

    Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi. Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013. Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
  3. Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  4. Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

    Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya. Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25! Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)? Nawasilisha!
  5. Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

    Mkeka wa MIL 165 UMETOA,utazame hapa, maisha ni kamari pia
  6. Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  7. Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  8. Mkeka wa DAS wa wilaya na wakurugenzi bado??

    Kama umepita basi ni kwa sababu ya mambo ya usiku usiku
  9. EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  10. T

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  11. SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  12. Msaada: Mkeka wa Sensa Kibaha TC hauonekani

    Mkeka wa sensa wa Kibaha TC hauonekani, msaada mwenye access ya huu mkeka please share.
  13. I

    Halmashauri ya masasi mkeka kitambo barazani

    Mkeka ushachanwa siku 3.
  14. J

    Self Microfinance mkeka tayari

    Mkeka wa self microfinance umetoka huko tayari baada ya muda mrefu hatimaye
  15. L

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  16. Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Salaam Wakuu, Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura. Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia. Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
  17. N

    Oral Interview za UTUMISHI (PSRS)

    Habari za humu wa forum? Nilikuwa naomba kujua maswali common ya ORAL INTERVIEW za UTUMISHI Asante.
  18. Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  19. Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  20. Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

    Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri. 1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria. 2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo 3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madini 4. George Mkuchika Nb. 1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…