Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani.
Hii imepelekea kuwa na watoto hapa na pale, ingawa sijutii kuwa na watoto 15+, kwa sababu najua hawa watakuwa faraja pale...