mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

    Wana MMU, Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe. Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu. Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
  3. JamiiForums Tanzania Mke wangu habebeki...

    Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha. Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…