mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. passion_amo1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  2. Selemani Sele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  4. Pleasepast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  6. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] " • Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na mke wangu

    Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
  9. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

    Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu...
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

    Niaje wana gwan? Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema...
  11. uzewela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  12. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

    Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady). Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
  13. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiletea Usuperstar

    Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara. Nilipendwezwa na kuwa nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu...
  14. Memtata

    JamiiForums Tanzania Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

    Habari wakuu! It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa...
  15. Termux

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Habari JF, Mwezi huu nmekutana na changamoto kuhusu mke wangu maana mpaka sasa sijajua ana shida gani
  16. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitagawana Mali 50/50 na Mke wangu

    NITAGAWANA MALI 50/50 NA MKE WANGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mali hazikuwa na kamwe hazitakuwa kipaombele changu. Sio mimi tuu bali Watibeli wote. Ikiwa ni mke wangu. Ambaye naye ni Mtibeli. Na ambaye kwake mali sio kipaombele. Ikiwa itatokea Mimi na mke wangu tukaachana basi...
  18. Adolph Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF.... Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi... Nimejiwekea utaratibu kila...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  20. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
Back
Top Bottom