Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.
Manara anadanganya anaposema hakuwa na mkataba na Simba... Chochote alichoambiwa na akakubali kufanya kazi ndio...