mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC apanga kuja Nairobi kutia saini mkataba wa EAC

    Kama hatua za mwisho za kurasimisha.... DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty. Kenya is the current chair of the EAC and Tshisekedi is expected to sign the treaty before President Uhuru...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  3. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Ulinzi Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi tofauti tofauti, kuna haja ya kufanya mambo kadhaa. Kwanza ni kuweka sera ya pamoja ya ulinzi ili...
  4. JamiiForums Tanzania Anahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha

    Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwenye kufanyakazi bila kuwa na mkataba

    Sheria ikoje ktk kesi ya hasara (loss) ilitokea dukan ikiwa hakuna mkataba kati ya mfanyakazi na boss
  6. JamiiForums Tanzania Anahitajika dereva wa mkataba Arusha

    Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni za kujenga kwa mkataba!

    Hizi kweli ziko genuine, wabongo tunajuana unaoneshwa ramani kali, jengo ghorofa kila kitu wanasema hela ndogooo how come, tupeane uzoefu.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA)

    Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

    Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao. Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kocha Pitso Mosimane asaini mkataba mpya wa miaka miwili Al Ahly

    Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane (57) raia wa Afrika Kusini ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2023/24. Mosimane alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Oktoba mwaka 2020 akitokea ya Mamelodi Sundowns ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dunia yakaribia kuondoa kero ya plastiki huku mkataba mpya ukisainiwa na UNEP

    Na Ronald Mutie Takwimu zilizotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kulinda Mazingira UNEP kwenye mkutano wa tano mkuu wa Mazingira UNEA-5, zinaonyesha kuwa takriban tani milioni 11 za taka za plastiki hutiririka katika bahari kila mwaka, na kutishia maisha ya viumbe vya baharini, usalama wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Ajira kwenye Utumishi wa Umma iwe kwa MKATABA

    TUNA TATIZO KUBWA LA HUDUMA DUNI KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA/SERIKALI...KIINI CHA TATIZO NI MFUMO WA AJIRA ZA SO CALLED "PERMANENT AND PENSIONABLE" Nafahamu Taasisi mbalimbali za serikali zina targets lakini hali haiko hivyo kwa watumishi wao ambao target yao ni kuishi kazini hadi kustaafu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama unaingia Mkataba ulipwe Mshahara kidunchu unategemea nchi yako ifanyeje?

    Habari Wakuu! Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana. Tumezoea kulalamika. Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale. Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa msema ukweli hata Kama unaumiza. Ukweli ndio dawa pekee ya kuikomboa nchi. Hakunaga maendeleo pasipo...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Kusainiwa mkataba wa EPA, kuwabeza wawekezaji wa ndani

    KUSAINIWA MKATABA WA EPA,KUWABEZA WAWEKEZAJI WA NDANI. Nimeona ACT wakitoa hofu yao kama ile ya Hayati Mkapa ya kuhofia bidhaa nyingi nchini hivyo kutowalinda wawekezaji wa ndani. 1. Tujiulize faida za kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini yaani import goods nyingi nazo ni zipi? 2. Kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Mkataba wa Mashirikiano ya kibiashara na Jumuiya ya Ulaya (EPA), unaruhusu upotevu mkubwa wa Mapato

    Utangulizi: Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za umoja wa Ulaya (EU) na mataifa ya Afrika. Makubaliano haya yanajadiliwa na kuingiwa kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…