Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika
umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW.
Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata.
Wapo wanaosema...
Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni😇
Wabunge wanautaja mkataba...
Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari.
Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na...
Ibara ya 5 - Haki za Kukuza, Kuendesha na kusimamia
(1) Nchi Wanachama wanakubaliana kwamba DPW itakuwa na haki pekee za kukuza, kusimamia na/au kuendesha Miradi kama ilivyoelezwa katika Kiambatisho 1 sehemu ya 1, moja kwa moja au kupitia Kampuni washirika chini ya Mkataba kama itakavyoainishwa...
Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji
(2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..."
Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana...
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA?
Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini?
1. Je, imeuzwa au imekodishwa?
2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji?
3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili...
Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.
Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
Kwa mujibu wa Katiba na Sheria zetu zinazoliongoza Bunge, Rais ni sehemu ya Bunge. Kama Rais aliridhia (kwa kuusoma au kusomewa au kutafsiriwa mkataba wa kuikodisha Bandari yetu kwa DP Word) kusainiwa kwa mkataba huo, sehemu moja ya Bunge imeshaupitisha. Mnaelewa?
Kichama, Rais ni Mwenyekiti wa...
Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya hayo maneno yana maana gani hasa.
Maana na Tafsiri halisi ya MoU - Memorandum of Understanding au...
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.
Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.
Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe.
Mara viongozi...