Kila waziri anaongea yake kuhusu Bandari, Wananchi wanazungumzia MKATABA!

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
740
1,214
Rais Samia aliwahi kumtukana waziri wake kwamba alifanya 'nonsense'. Limekuja suala ya kuuza bandari sasa kila waziri na wanasiasa wanainuka kutetea uuzwaji huo wanaongea nonsense!

Lukuvi kajitutumua akajikuta nonsense yake inaeleza umuhimu wa kuvutia wawekezaji. Wananchi wanazungumzia MKATABA!

Mbalawa kajitutumua akajikuta anataja idadi ya meli wanazomiliki DPW.
Wananchi wanazungumzia MKATABA!

Spika alijitutumua akajikuta anaeleza umuhimu wa kumheshimu rais, eti hata kama ni mjinga.
Wananchi wanazungumzia MKATABA!

Musukuma alijitutumua kueleza mshangao wake wa kuona binti anabonyeza screen huko Dubai.
Wananchi wanazungumzia MKATABA!

Nape alijitutumua akajikuta aneleza wabunge wenzake walivyotishika na rais Samia.
Wananchi wanazungumzia MKATABA!

Kwa ujumla CCM leteni lolote au yeyote kuwekeza lakini leteni mkataba wa akili. Siyo mikataba inayoonesha hatuna viongozi wenye vichwa.
 
Nadhani Samia amejidai kuwa mzoefu na nchi hii kwa haraka sana kuliko uhalisia ulivyo. Yawezekana ni hii shangilia anayoiona kila anaposafiri na kuzungumza. Ukweli ni kwamba washangiliaji hawana umaarufu wowote kwa wananchi.

Sioni waziri yeyote kwenye baraza lake anayeonekana kupendwa na wananchi. Naye rais kisha ingia kundi hilo la hovyo hovyo tu!
 
Na wewe unaongelea watu wakati wameshaanza kazi bandarini.
 
Hii bandari nipeni mimi
 
Nadhani Samia amejidai kuwa mzoefu na nchi hii kwa haraka sana kuliko uhalisia ulivyo. Yawezekana ni hii shangilia anayoiona kila anaposafiri na kuzungumza. Ukweli ni kwamba washangiliaji hawana umaarufu wowote kwa wananchi.

Sioni waziri yeyote kwenye baraza lake anayeonekana kupendwa na wananchi. Naye rais kisha ingia kundi hilo la hovyo hovyo tu!
Maoni ni mengi hadi kichwa kinauma!
Hapa na pale.png
 
Back
Top Bottom