Naam ni msoto baada ya kupoteza muelekeo kwa miaka kadhaa.
Kila kitu kilikwama kuharibika na kuchakaa.
Nguo viatu vyote viliisha yaani kuna mashati yalichakaa mpaka yakawa kama neti.
Habari ya kulala njaa ilikuwa jambo la kawaida sana,muhimu watoto wapate japo chai jioni.
Tulichakaa mpaka...
Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025.
Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
Habari wakuu
Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote
Hii hali tulishaizoea,
Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu
Hivi sasa wabunge...
Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo!
2. Hizi ni drama tu hakuna lolote la maana litakalofabyika kumpata Mdude
3. Most likely by 1,000,000,000% he is dead... machozi...
Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa.
Nifanyaje kutuliza...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
Habari zenu wadau.
Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini.
Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016.
Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027.
Viongozi wa...
Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali.
Historia kidogo.
Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004".
Kupitia Kampuni...
Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha.
Pafyumu
Kinu cha kusindika miwa
Incense Burners
Vifaa na elimu ya...
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara - 1,277
CHANCE YA KUPATA KAZI
Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000)
Wabara - 1 kwa...
Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated
Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka.
Wakati ua halichanui, rekebisha mazingira ili liweze kukua, Sio kurekebisha au kubadirisha ua.
Tusisubirie vya kuja kuthamini ubora wetu...
Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...
Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
Wakuu kwema..
Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota..
Binafsi...
Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema,
"Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.