mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Wakiona hii waislamu wenye msimamo mkali

    FaizaFoxy ,Lucha Mnakaribishwa kutoa mapovu
  2. Its Tesha

    PostGE2025 Niffer, Mika Chavala na wenzake wafikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili. Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
  3. Analogia Malenga

    Huu wimbo wa Vitali Maembe una ujumbe mkali sana

    Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
  4. Kijakazi

    Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

    Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
  5. Eli Cohen

    Kituu pekee cha kukikomboa kutoka palestina na pawe huru ni hamas, muslim brotherhood, IRGC na uislamu wa itikadi ya msimamo mkali.

    Wala gaza sio wahanga wa uyahudi. Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi. Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala. Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
  6. Bani Israel

    Uzi wetu ni mkali licha ya kuvuja yanga wanaona wivu na full european touch

    Tukiacha utani huu uzi ni mkali.
  7. DodomaTZ

    GE2025 Mgombea Kitandula awa mkali baada ya kuulizwa maswali “magumu” na Wajumbe, adai wametumwa

    Mbunge wa Mkinga anayemaliza muda wake, Dastan Kitandula ameoneshwa kukerwa kuuliza maswali “chokonozi” aliyodai yamepangwa na washindani wake kisiasa. Kitandula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii alionyesha kukerwa na kupaniki kuuliza maswali hayo wakati alipokuwa kwenye mkutano...
  8. Chibike

    Bilionea Jay Rutty Yani uzi mkali hivi halafu mseme ni WA mechi za Pre Season?

    Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa hazieleweki mtazirudisha hizi hizi sokoni watu wanunue.. Jezi zinauliziwa kila Kona ya nchi, wekeni...
  9. Mbepo yamba

    Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  10. Damaso

    Msako mkali wa wahamiaji jamhuri ya Dominika: Mgogoro mpya Karibea

    Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
  11. Eli Cohen

    Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

    Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo. Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
  12. figganigga

    Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali🤣

    Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk. Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla? Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
  13. Heparin

    Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  14. mirindimo

    KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

    Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
  15. nzalendo

    Kumbukumbu baada ya msoto mkali

    Naam ni msoto baada ya kupoteza muelekeo kwa miaka kadhaa. Kila kitu kilikwama kuharibika na kuchakaa. Nguo viatu vyote viliisha yaani kuna mashati yalichakaa mpaka yakawa kama neti. Habari ya kulala njaa ilikuwa jambo la kawaida sana,muhimu watoto wapate japo chai jioni. Tulichakaa mpaka...
  16. Chakaza

    "Nileteeni Gwajima" 2020 VS "Tupakule Magwajima" 2025. Mpambano Bado ni Mkali Sana.

    Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025. Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
  17. OMOYOGWANE

    Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  18. Prof_Adventure_guide

    Hapo Ndio Historia Inaanzia: Mwanzo wa Utawala wa Simba Katika Mtaa Mkali wa Serengeti

    Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
  19. R

    Kupotea kwa Mdude: Tuhuma za kuhusika kwa Askari katika kupotea kwa Nyagali, Uchunguzi mkali waanza, kikosi chatumwa, kutoka mtandaoni

    1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo! 2. Hizi ni drama tu hakuna lolote la maana litakalofabyika kumpata Mdude 3. Most likely by 1,000,000,000% he is dead... machozi...
  20. Mtunza siri zako

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2025, tukutane hapa

    Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa. Nifanyaje kutuliza...
Back
Top Bottom