mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo na Bagonza waanza mkakati wa kuwaondoa maaskofu, wachungaji wasiojihusisha na siasa. Wavunja Katiba kumuondoa Dk. Mwakitali Jimbo la Konde

    Askofu Dk Shoo na Bagonza wanajitambulisha kama vinara wa kupenda haki na kutii katiba, katika Jimbo la Konde, wamedhihirisha rangi yao, wamevunja katiba ya kanisa ili kumuondoa Askofu Dk. Mwakitali. Dk Mwakitali ni moja ya maaskofu wa KKKT ambao wamejikita katika kazi ya kichungaji zaidi na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkakati wa upigaji wa fedha katika anuani za makazi

    Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa. Mbinu wanayo ipigia mkakati ni (1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

    Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kwa Serikali kuja na mkakati mahsusi wa kuwawezesha matajiri wa Tanzania

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar. Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika haupaswi kutungwa kwa ajili ya kukabiliana na China

    Kwa muda usio mrefu sasa, serikali ya Marekani chini ya rais Joe Biden imeelekeza tena mkakati wake kwa Afrika. Alipofanya ziara yake ya kwanza barani Afrika mwezi Novemba mwaka jana, waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken aliahidi kuwa serikali yake "itachukua mtazamo tofauti" na kushiriki...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwashirikisha wanawake wa Afrika kifedha na kiuchumi waonesha matumaini

    Na Pili Mwinyi Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Malumbano Spika Ndugai vs Raia Samia ni mpango mkakati, Watanzania msizuzuke

    Habar wadau Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya kudai Katiba Mpya wazinduliwa

    Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine. Mkakati mpya kudai Katiba Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

    Anaandika Askofu Bagoza PhD. TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema. Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Division 4 na 0 kujiunga na Jeshi: Je, ni mkakati wa kuwabeba ndugu/watoto wa vigogo waliofeli?

    Naiweka kama "Hypothesis" kuwa: Akina Simbachawene and Co. Ltd, (VIGOGO) wana ngudu zao kibao ni failure wa form 4 na 6 ambao Ni Div ZERO NA 4. Sasa kuwapa ajira, sifa ni div 0 na 4. Sifa hizo zitawakumba ndugu zake, watoto wa marafiki na marafiki wao wote.
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  14. blance86

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Kwenye hili la chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati

    Kwenye hili la Chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati. Na Dotto Bulendu(MwanaPuge),nikiandika kutoka kijijini Puge. ::::::::::::: Vita ya hoja juu ya Ugonjwa wa Corona nchini kati ya Ndugu wawili ,Dr Doroth Gwajima (MB) na Waziri wa Afya dhidi ya Shemeji yake Askofu Josephat Gwajima (Mb)...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uundwaji wa Baraza la Vijana Tanzania ni mkakati wa Serikali ya CCM ili kuwarubuni kwa uchaguzi 2025?

    Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo? Kuna UVCCM Kina BAVICHA Vyuoni kuna jumuia mbalimbali Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana. Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini yawasilisha Mpango Mkakati Kupunguza Maambukizo ya VVU Na TB Migodini

    WIZARA YA MADINI YAWASILISHA MPANGO MKAKATI KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU NA TB MIGODINI Na. Emmanuel Kasomi - Dodoma Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Masuala ya UKIMWI (VVU)...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  19. B

    JamiiForums Tanzania COVID-19 na ukubwa wa tozo zilizopitishwa Bungeni haviendani, uzalishaji umeshuka

    Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo; 1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaanza mkakati wa kupima Corona Vijijini

    Wakati aina mpya ya kirusi cha Corona- Delta kikiripotiwa nchini Rwanda, serikali ya nchi hiyo imeanza mkakati wa kuwapima wakaazi kuanzia vijijini hadi mjini. Sambamba na hilo pia serikali ya Rwanda inakusudia kutoa vyakula katika familia zilizoathiriwa na agizo la kusalia ndani ambalo...
Back
Top Bottom