mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

    Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini? Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine? Au bado zile pesa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama kesi za viongozi CHADEMA zilifutwa kutokana na maridhiano, kesi ya akina Mdee pia kumalizika kwenye Mkakati wa maridhiano

    Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano. Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama chadema walivyotaka basi nchi itakuwa tulivu; 1. Ruzuku ilikuwa Haki ya CHADEMA kulingana na wingi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na mkakati wa kumaliza uhaba wa mbegu

    Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote. Serikali...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka - (2)

    Jana katika simulizi ya kukimbia nchini baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, tuliona Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface walivyokamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wafanye vurugu, kuharibu mali na kudhuru...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

    Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  8. B

    JamiiForums Tanzania TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

    Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya hadhara wakiwa na lengo kubwa la kueleza wapi serikali “imekwama” kukomboa wananchi na janga la ufukara...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  13. sammosses

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  16. jerrytz

    JamiiForums Tanzania Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  17. Fahami Matsawili

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi

    Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi. Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
  18. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

    Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hebu tumjue vizuri Jenerali aliyetoa mapigo mkakati dhidi ya Ukraine

    Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii. Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
Back
Top Bottom