mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu kwa Kila Kampuni na Shirika Kuwa na Mkakati wa Kustahimili Changamoto za Teknolojia ya Digitali

    Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  3. Merci

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkakati wa Kukuza na Kuendeleza Sekta ya Kilimo

    Kilimo ni sayansi inayohusisha kulima mimea na mifugo. Kilimo ni moja kati ya shughuli za kwanza kabisa kufanywa na binadamu katika harakati za kujitafutia chakula. Mazao ya kilimo yanaweza kugawanywa katika makundi ya vyakula, nyuzinyuzi, mafuta na malighafi kwa ajili ya shughuli za viwanda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Agost 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa ili kuiwezesha Serikali kujipanga kimipango mkakati ya SMART, kutuletea maendeleo.

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni pangua pangua yenye mkakati wa kuwaumiza watanzania 2025.

    Wasiokuwa na upepo mzuri kwa kiongozi mkuu wote watasafishwa. Kuna mkakati mkubwa na wenye nia ya kuhakikisha watanzania wanapata tabu ya kuumizwa baadq ya mwaka 2025. Ni wazi kuwa watanzania wanaumia maana kiongozi aliyewatetea hayupo. Kilichobakia ni kuwepo kwa mikakati ya kuweka mtandao...
  8. Kigamba

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mazao Mkakati Tanzania

    Mazao mkakati ni mjumuhisho wa mazao ambayo uzalishaji wake umekua hafifu"mdogo" kulingana na huitaji wake sokoni yanaweza kua ya chakula au biashara. Hivyo serikali kuandaa mikakaati kwaajili ya kukuza na kuamasisha uzalishaji wake. Mfano; pamba, korosho, chai, karafuu, mkonge, michikichi na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko asisitiza miradi yenye madini mkakati kuendelezwa

    Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye nia ya kuwekeza kukosa fursa hiyo. Amesema wapo wawekezaji wanaotaka kuwekeza katika Sekta hiyo maeneo mbalimbali nchini...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji, kushughulikiwa

    KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI Na Crispin Gerald Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji. Akizungumza wakati wa ziara ya...
  11. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

    Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge. Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika mkakati mzito wa kumgombanisha Rais Samia na Wamachinga katika majiji Makubwa

    CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wa “msaada kwa biashara” unaweza kuishia kuwa mkakati wa kujiaibisha

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

    Wana JF na Watanzania, Kuna kundi limejitanabaisha humu kama wao ndio waamuzi wakuu wa hatma ya nchi. Huko nyuma mwandishi mmoja wa kundi hilo amekuwa akiandika na kuyaita maandishi yake kama "maono", badae akaanza kusema anawasilisha yaliyopitishwa "mezani", badae alivyopata kuaminika hasa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

    Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
  18. libeva

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa TFF kuibeba Simba dakika za majeruhi tumeushtukia

    1. Kupewa kadi nyekundu kwa kocha Nasri Nabi kwa kulalamika mchezaji wake kukanyagwa na Kelvin Yondani mwamuzi sijui anajua kifaransa au kiarabu? Ndizo lugha anazo tumia Nabi alizotumia kulalamika tukio la mchezaji wake kukanyagwa je swali la kujiuliza mwamuzi aliyetoa huku ni mbobezi wa lugha...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Upi Mkakati wa Tanzania kutengeneza Ownership ya Parachichi kwa kuanza kuzibrand kama product ya Tanzania?

    Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi. Namnukuu: "Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali Parachichi asilimia zaidi ya 50 zinazotoka Ukanda huu wa Africa Mashariki zinatoka Tanzania...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Join the chain ya Chadema ni zaidi ya mpango mkakati hongereni sana!

    Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi. Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya...
Back
Top Bottom