mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi sijauza hata mia na nipo mjini kati, mambo yangu yanakwama kwa kasi, nachanganyikiwa

    Nakosa hata la kuongea wakuu, aisee!
  4. JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

    Mlimchagua kwa mbwembwe.. Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya. Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa ni mjini Ng'ombe wanafugwa bila kugongwa na gari la Shilole

    Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu. Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇 🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi: iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji au katikati kabisa ya mji. Ukweli ni huu: 👉 Ukiandaa mazingira rafiki 👉 Ukiwa na miundombinu sahihi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Hekaheka za Krismasi mjini Chato

    Maandalizi ya sikukuu huko Chato
  9. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    CONTACT ME 0762098871
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka KIA mpaka Arusha mjini hakuna Trafiki, kulikoni?

    Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani. Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli. Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini. Hakuna cha...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoto yule akikutana na huyu watatoana damu nakwambia! Baada ya kwenda mjini kukutana na Mjomba akatusaliti!

    Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
  12. JamiiForums Tanzania Boss kwezi Dalali mjanja

    Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko umeongezeka, timu hii imeonyesha kwamba mbali na kufanya kazi kwa weledi, imejitoa kuhakikisha kila...
  13. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  15. JamiiForums Tanzania Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

    Ilivyokuwa Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee. Reaction ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

    Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
  17. JamiiForums Tanzania Msikilize Mchungaji Mwanamapinduzi akiongea Katika Space ya MariaT huko mjini X INASIKITISHA.

    Masikilize
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma Mjini hongereni kwa kumpata ZZK

    Tunawashukuru wote kwa ushiriki wa mchakato. Hakika mnastahili
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni formula gani inatumika mpaka mtu kuitwa na mabinti mubaba hapa mjini?

    Habari zenu watu wa mapenzi? Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000? Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…