CCM ili kuokoa jahazi Bukoba Mjini Ubunge, Mch. King James atafaa

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.

Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae kuongozwa tena mpinzani.

Kwa bahati mbaya jamii ya Bukoba huwa haitishiwi na nguvu ya Vyombo vya Dola, na mnajua kabisa hata mambo ya kupelekana Mahakamani huku ni kama kwenda mgahawani.

I love u CCM❤
 
Nimependa paragraph ya mwisho katika andiko lako ila hiyo sentence ya mwisho ndio haifai. Wahaya tayari mlishajinasua na ccm kwanini mnarudi nyuma tena?
 
CCM ni chama kizuri sana ila kuna mda huwa kinaingiliwa na shetani
 
king james amekuwa na ushawishi namna hii had apewe ubunge kweli tz n ya ajabu sana
 
Kwa kadiri jamii inavyozidi kuelimika ndivyo ambavyo unazidi kuikataa CCM. Msingi mkubwa wa kustawi kwa CCM ni kutamalaki kwa ujinga, umaskini na maradhi. CCM imeota mizizi na huwezi kuwaambia watu kitu chochote kile dhidi yake ktk maeneo yaliyotopea kwa ujinga na umaskini, hasa hasa maeneo ya vijijini.

Ukiangalia hata sera zao mijijini na katika majiji, ni za kutaka tu kuungwa mkono na wafunjaji wa makusudi wa sheria ndogo ndogo za Halmashauri. Wanaona ni vyema mama ntilie na machinga wasiguswe hata kama wanafanya biashara zao ktk maeneo yasiyoruhusiwa kisheria, kisa eti kutaka kuwaonyesha wanyonge kuwa inawakumbuka.

Wanasahau kitu kimoja, Ndiyo! Mama ama baba utamdanganya kwa hilo, lakini nyuma yao lipo jushi la vijana ambao hawajaajiliwa na lipo mtaani, ambalo hakuna mikakati yoyote ile ya kuwaajiri isipokuwa kuwalisha ngonjera kupitia kauli za maendeleo ya vitu.
 
Aisee kumbe jamaa unamfahamu vizuri...hivi yale macho yake kama vile anavuta bangi bado yako vile

nafikiri ww ndo humfahamu namfahamu tangu akiwa ngara (national housing kwa chini) nafahamu familia yake, makuzi yake

anakuja bk anafanya biashara zake (viatu) kanikuta anaanzisha kanisa nipo
sipo bk kama miaka 3 usinambie kawa na ushawishi huo
 
Aisee kumbe jamaa unamfahamu vizuri...hivi yale macho yake kama vile anavuta bangi bado yako vile
Namfahamu vzr sana hadi picha zake akiwa na vijana wenzake Ngara mjini nnazo

Enzi zake alikuwa mtukutu balaa, sa ivi mtu poa sema sikufahamu kama amekuwa na ushawishi kiasi hicho
 
Tatizo wewe unamhemuko na itikadi ya chama chako,
King bukoba anaushwashi mkubwa ulizia kama una ndgu zako
 
mkuu umenisoma vizuri lakini
nimesema sipo bk miaka ka mi 3 (huwa napita tu ) ko sijafahamu jamaa kama ana ushawishi kiasi hicho.maana nafahamu ana wafuasi ila kwenye siasa sijawahi fahamu kama anakubalika

ngoja nitafute mtu nimuulize
 
King James nimchungaji muongo muongo kama Gwajima bashite ,watu wachache na wajinga kutoka vijijini ndo wanamkubali ,

King James anajiita mtumishi wa Mungu huku anadhamini mashindano ya muziki wa kidunia pale kiroyera beach huu ni ujinga

Kuuzima moto wa chief Mpaka ujipange, sio kitoto chief kawa mayor ndani ya miaka 05 tu lakin bandari imejengwa yakisasa, barabara nyingi bila kusahu daraja la bukoba club

Pia kuhusu stendi mpya inajengwa kyakairabwa

Sasa king James nani atampa ubunge wakati ni fake pastor sometimes he called his worshipers my customers, also is very hypocrite.

"Chaupele mpenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi kamuone daktari Mimi siko tiyari kuliacha lumba kwa ajili yako"
 
Hiyo stendi inayojengwa kyakairabwa ? Mbona haiishi?

Stendi na soko ndo vinawaangushaga wabunge wa bukoba
 
King James nimchungaji muongo muongo kama Gwajima bashite ,watu wachache na wajinga kutoka vijijini ndo wanamkubali ,

King James anajiita mtumishi wa Mungu huku anadhamini mashindano ya muziki wa kidunia pale kiroyera beach huu ni ujinga

Kuuzima moto wa chief Mpaka ujipange, sio kitoto chief kawa mayor ndani ya miaka 05 tu lakin bandari imejengwa yakisasa, barabara nyingi bila kusahu daraja la bukoba club

Pia kuhusu stendi mpya inajengwa kyakairabwa

Sasa king James nani atampa ubunge wakati ni fake pastor sometimes he called his worshipers my customers, also is very hypocrite.

"Chaupele mpenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi kamuone daktari Mimi siko tiyari kuliacha lumba kwa ajili yako"

Huo ni wivu wako, suala la kwamba ni fake au siyo fake in politics doesn't matter, kwa bukoba manispaa King James ni mdau mkubwa wa maendeleo ,kachangia miradi mingi ya maendeleo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tatizo wewe unamhemuko na itikadi ya chama chako,
King bukoba anaushwashi mkubwa ulizia kama una ndgu zako
Ana ushawishi wapi..Rwamishenye,Ijuganyondo,Bilele,Uswahilini,Nyanga,Buhembe,Kashai,Kyebitembe,Kagondo,Kitendaguro?
Sema kua ana watu kanisani pale Kashai basi....Jimbo la Bukoba na Kagera kwa ujumla bado hamna wawakilishi kama ilivyo kua wakati wa akina Kinyondo na Mtungilie..angalau kidogo mama Anna
 
Daah yani bado sanaaaa atuja jua maan ya siasa HV kwa Sasa bado tuna angalia ushawish was mtu kwel na Mali zake au tuna angalia mtu ambaye ana capacity kubwa ya kuongoza na kutetea jamii husika na pia tuna angalia na uelewa was siasa binafsi nadhan Kuna umuhim wa kuelewesha watu maana ya uchaguzi watu Wana jua uchaguzi Ni mashindano...bado hayo ni mawazo ya kale.....itapendeza Sana kama itafika hatua Tanzania watu wata weka pembeni itikadi zao za uchama na tofauti Waka angalia Ni Nani ana weza kwenda bungeni kutetea maslahi ya jamii husika......mfano mdg tu asilimia kubwa ya jamii asa wa chini Wana Amini kwamba mtu tajili au anae told familia yeny jina..au mfanya biashara au mtu flan ndo anaweza gombea ubunge.......lakn kiukwel....bado sanaaa tuna itaji mabadiliko ya fikra snaaa na hi sio issue ya itikadi za vyama
 
Ana ushawishi wapi..Rwamishenye,Ijuganyondo,Bilele,Uswahilini,Nyanga,Buhembe,Kashai,Kyebitembe,Kagondo,Kitendaguro?
Sema kua ana watu kanisani pale Kashai basi....Jimbo la Bukoba na Kagera kwa ujumla bado hamna wawakilishi kama ilivyo kua wakati wa akina Kinyondo na Mtungilie..angalau kidogo mama Anna
Wewe umekurupuka kutaja kata za BMC kumbe hata kanisa la king James hujui lilipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom