mizigo

  1. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

    Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania MALORI YANAYOLETA MIZIGO MWANZA HURUDI MATUPU NA BADALA YAKE YANABEBANA WENYEWE.

    Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo, malori yanakuja Mwanza yakiwa yamejaa mizigo kama bidhaa za viwandani, vifaa vya ujenzi, na bidhaa...
  4. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive? Tena kwa njia ya Sea freight...
  5. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nina kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
  8. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
  9. R

    JamiiForums Tanzania wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  11. bopwe

    JamiiForums Tanzania "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

    Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao.. Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Watumishi mizigo maofisini unatokana na mahusiano ya kingono kati ya mabosi na walio chini yao.

    Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100% Chanzo kikuu ni hiki hapa;- 1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

    Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
  16. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maoni: Tatizo la Kujifanya Usalama wa Taifa na Kuongeza Lawlessness

    Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma. Faida za Bandari Kavu...
  18. Wimbo

    JamiiForums Tanzania SGR ianze biashara ya mizigo

    Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar. Hii itasaidia...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  20. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
Back
Top Bottom