Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM.
Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan.
Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni.
Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma?
Hizi ni siasa gani?
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada,
Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e
MIKOPO yetu huanzia...
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo.
Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
Anonymous
Thread
duce
eneo
magari
magari ya mizigomizigo
njia
njia sahihi
sahihi
serikali
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba
Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku.
Chanzo: Azam TV
Pia soma ~ RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na...
Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake.
Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya...
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
Habari za majukumu boss,
Karibu PM Air Cargo tukusafirishie mizigo Kwa njia ya ndege 🛬🛫 kutoka China 🇨🇳 Kuja Tanzania 🇹🇿. Tupo Kariakoo mtaa wa Livingston na Pemba jengo la Clifton ghorofa ya 2.
Karibu sana.
MAWASILIANO: 0718096900
Habari za leo wazee. Nimekua nikisafilisha mizigo kwenye magari yanayo safirisha mizigo kutoka kariakoo kuja morogoro, jana mzigo wangu wenye thamani ya sh 4.4M( milioni nne na laki nne) umepotea .
Kwa wazoefu likitokea tatizo kama hilo inatakiwa nipitie njia gani ili mwenye gari aweze...
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee.
Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
Habari za majukumu boss,
Karibu PM Air Cargo tukusafirishie mizigo Kwa njia ya ndege 🛬🛫 kutoka China 🇨🇳 Kuja Tanzania 🇹🇿.
Kwa wiki hii mzigo utaondoka na ndege ya jumatano ya tarehe 28 may
Karibu sana.
Call 0718096900
https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg
Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji...
Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
HABAARINI WAPENDWA
WA ABOOD BUS SEEVICE
KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU
LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO
MZIGO UMETOKEA MOROGORO
UNAKUJA DAR
AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA
KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.