mito

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

    Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi mito ya Dar ina samaki?

    Wakuu hivi mito kam Msimbazi, Mzinga nk, ina samaki? Imewahi kuwa na samaki? Ningependa tu kujua.
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

    Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli. Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa. Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato...
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

    Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000. Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe. Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ni maajabu enyi wabobezi wa masuala ya Bahari, Maziwa na Mito nielimisheni zaidi kuhusu hili

    Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili Citizen TV Kenya Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
Back
Top Bottom